Pages
TUNAWATAKIENI SIKUKUU NJEMA YENYE AMANI NA FURAHA
Friday, 22 June 2012
UWEZI KUAMINI!APANDA KILIMANJARO KWA MIKONO
Spencer West yeye ana miguu.utumia mikono kwa kula
kutembea nk.amefanikiwa kupanda mlima mrefu barani
afrika(Kilimanjaro)kwa siku saba akiwa marafiki zake
walimsindikiza kutimiza ndoto yake.Magazeti mengi barani
ulaya ,USA yameandika kuh Spencer alivyo mjasili na mwenye
furaha ya kufika juu ya mlima wa Kilimanjaro..Zaidi kuh
Spencer West mcheki kwenye blog inayo pepea sawa bin sawia na jina lake
No comments:
Post a Comment
Angalia unapoandika usije kuleta machafuko
na hali ya sinto fahamu
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment
Angalia unapoandika usije kuleta machafuko
na hali ya sinto fahamu