Friday, 18 May 2012

 MTOTO AZALIWA AKIWA NA  QUR AN MKONONI


Allah akbar Allah akbar ilisikika mjini Lagos Nigeria mara baada ya kubaini kilichoshikiriwa mkononi ilikuwa Qur an tukufu kitabu kinachobainisha haki na batri kwa mujibu wa iman ya dini ya kiislam,Bibi na Mama mzazi wa mtoto huyo wote wamebadili dini na kuwa waislam mara baada ya maajabu hayo.
Mtoto amepewa jina Abdulwahab Olarewaju Babatunde
    Amesikika akisema  Alhaji  Ahmaad Olarewaju, who quoted the Holy Qura'n (Q41;53), “Allah said: “Soon will show them our signs in farthest part of the earth and among their own people until it become manifest to them that it is truth. It is not enough that the Lord is witness over all things.” ,

No comments:

Post a Comment

Angalia unapoandika usije kuleta machafuko
na hali ya sinto fahamu