Tuesday, 3 July 2012

MAPACHA WAACHANA

Bendi ya mapacha watatu imekumbumbwa na mmemme nyeko baada ya mĂșasisi mwenzao kuondoka..Chanzo chetu kina ng amua ya kwamba Kalala JR ameondoka Bendi ya mapacha watatu bila ya ugomvi wala mkwaluzo wowote..Imekuwa ni kawaida ya wanamuziki kuama toka bendi moja kwenda nyengine au kuanzisha bendi...Japo ni tabia ya kimaslai lakini Ngwamba letu linadadavua baadhi ya wanamuziki wanaohama bendi wengine urudi walipotoka na kuendeleza kuwakuna mashabiki wao kama kawaida

No comments:

Post a Comment

Angalia unapoandika usije kuleta machafuko
na hali ya sinto fahamu