TUKIO LA KUUWAWA DAUDI MWANGOSI AKIWA MIKONONI MWA WALINDA AMANI 2012 MJINI IRINGA
Picha hii ni kwa hisani ya mtandao.Bint akimuangalia baba yake Sheakh Aboud Rogo muhubiri wa dini ya kiislam mjini Mombasa Kenya aliepigwa risasi hivi karibuni haya ndio yaliojili Afrika mashariki...Tunaomba viongozi wetu kukemea haya mambo kwa nguvu zao zote
No comments:
Post a Comment
Angalia unapoandika usije kuleta machafuko
na hali ya sinto fahamu