Friday, 8 June 2012
Thursday, 7 June 2012
SISI NA POROJO WENZETU WANA TENDA
Hadithi njoo utamu kulea.hapo zamani za kale kulitokea nchi
inayoitwa Porojo wakazi wa nchi hiyo kwa domo na mipango wajuzi
kweli kuliko vitendo.Wengi wao wanaishi katika mji maarufu wa Liwaro
na liwe,Kama mgeni ndani ya mji wa Liwaro na liwe inapigi uwe muangarifu na mwenye makini na kanya boya za kila aina pamoja na mipango mingi ya wana wa Porojo kuliko wenye ujuzi wa kuongea na kutunga mambo hata yasio kuwepo.Wanataka ujenge Daraja moja kubwa toka sehemu ya jiji la Liwaro na liwe hadi kwenye kisiwa kilicho jirani ya jiji hilo uku wakifahamu ´fika uwe usemi wa wahenga
MIPANGO CHI MATUMIZII.....
Tuesday, 5 June 2012
IBRAMOVIC APAKI KWENYE FUKWE ZA WASWIDI
Ni lile tajiri la Kirasia mwenye kumiliki boti ya kifahari duniani
KWA WALE WAPENDA SHIRA
Mpango mzima ndio huo hapo
ULINZI WA KUKATA NA MUNDU JIJINI LEO
Hii ni helcopter ya usalam wa raia na mali zao
SMOKA PA STOCKHOLM
Kipindi cha summer ni miziki kila dakika hasara wewe tu na .......
Sunday, 3 June 2012
JK YULE WA MIEMBE SABA YUKO VILE VILE
Si swala geni kwa wakazi wa Matimbwa.Kitopeni.Msata Kiwangwa na hata Bwagamoyo mjini
kwani Jakaya Kikwete licha ya kuwa Rais lakini tabia na mwenendo wake bado ni ule ule..JK ni mtu wa kujichanganya popote na yoyote iwe kwenye michezo ngoma za asili hata kwenye Zuna au bao..Picha imenikumbusha alipokuwa zamani na sasa halila JK Chafosa chaigoda
UKO FITI TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI
Picha -IKULI
Picha -IKULI
Saturday, 2 June 2012
Wednesday, 30 May 2012
Charles Taylor miaka 50 jela
Alie kuwa rais wa Liberia afungwa miaka 50 jela
ukijumrisha na umri aliokuwa nao ngumu kumethaa..
ukijumrisha na umri aliokuwa nao ngumu kumethaa..
The Special Court for Sierra Leone has jailed former Liberian president Charles Taylor for 50 years for his role in aiding and abetting murder, acts of violent sexual abuse and using child soldiers in the Sierra Leone conflict of 1996 to 2002.
Friday, 18 May 2012
MTOTO AZALIWA AKIWA NA QUR AN MKONONI
Allah akbar Allah akbar ilisikika mjini Lagos Nigeria mara baada ya kubaini kilichoshikiriwa mkononi ilikuwa Qur an tukufu kitabu kinachobainisha haki na batri kwa mujibu wa iman ya dini ya kiislam,Bibi na Mama mzazi wa mtoto huyo wote wamebadili dini na kuwa waislam mara baada ya maajabu hayo.
Mtoto amepewa jina Abdulwahab Olarewaju Babatunde
Amesikika akisema Alhaji Ahmaad Olarewaju, who quoted the Holy Qura'n (Q41;53), “Allah said: “Soon will show them our signs in farthest part of the earth and among their own people until it become manifest to them that it is truth. It is not enough that the Lord is witness over all things.” ,
Subscribe to:
Posts (Atom)






