Thursday, 28 June 2012
Saturday, 23 June 2012
MADAKTARI ACHENI KAZI SERIKALINI
Kugoma sio dawa ya tatizo.Dawa ni kuacha kazi ya kutumwa na serikali na kuungana kuanzisha Hospitali yenu itakayokizi mahitaji na iliyo bora.
Wengi wenu ni madaktari bingwa kwa nini msiombe mikopo mikubwa na kujiajili wenyewe kwa kuanzisha hospital yenu na kujilipa mishahara mikubwa..
Mkiwa na hospitali yenu mtanunua vifaa vya kisasa na wananchi watakuja kwenu na hata hao wanaotibiwa nje ya nchi pia watavutiwa na huduma zenu ziliboreshwa vzr.
Rejeeni kazini na mjipange upya.kuweni na mikakati endelevu kama wenzenu wa nchi nyengine ..
Wajulisheni wananchi mmeacha kazi ili muanzishe hospitali yenu yenye kiwango mtakacho lizika nacho.
Kimtazamo hamuigomei serikali mnamgomea yule raia alie lala na kulalama kwa maumivu uku ndugu yake akimuangalia akiteseka hadi kumfia mkononi mwake wakiwa wanaangaliana hali ameishaiaga dunia..
Friday, 22 June 2012
MAHAKAMA KUU YAPIGILIA MSUMALI MGOMO WA MADAKTARI
mgomo siku ya Jumamosi tarehe 23 Juni, 2012,
Mahakama Kuu ya Tanzania,Kitengo cha kazi,Dar es Salaam imetoa amri ya kusitisha mgomo huo mpaka hapo pande zote mbili yaani Serikali na Chama cha
Madaktari Tanzania (MAT) yatakaposikilizwa na kutolewa uamuzi.
· Amri hiyo ya Mahakama imetolewa kufuatia maombi namba 73 ya 2012 yaliyowasilishwa chini ya hati ya dharura na Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya Chama cha Madaktari Tanzania (MAT).
· Amri hiyo ya Mahakama imetolewa kufuatia maombi namba 73 ya 2012 yaliyowasilishwa chini ya hati ya dharura na Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya Chama cha Madaktari Tanzania (MAT).
Sababu za msingi amabazo zimepelekea Mahakama kuu kutoa amri hiyo upande mmoja ni pamoja na;·
*Iwapo mgomo huo utatokea utakuwa na kuwa amri hii isipotolewa madhara yake ni makubwa isiyoweza kufidiwa kwa namna yoyote ile kama vile kupoteza maisha n.k
· *
*Iwapo mgomo huo utatokea utakuwa na kuwa amri hii isipotolewa madhara yake ni makubwa isiyoweza kufidiwa kwa namna yoyote ile kama vile kupoteza maisha n.k
· *
Wajibu maombi, ambao ni MAT, inaundwa na Madaktari ambao wapo katika Sekta ambayo inatoa huduma mahsusi (essential service sector),
Aidha Chama cha Madaktari Tanzania kimetangaza mgomo bila kufuatia taratibu zilizoanishwa katika Kifungu cha 76(1 na 2) cha Sheria ya Kazi (Employment and Labour Relations Act No 6 ya 2004.Masharti hayo ni ·
*Kuzuia wafanyakazi walio katika Sekta Muhimu kugoma na kama wakigoma, ·
*Kuwepo na makubalianao ya pamoja ya kutoa huduma za msingi wakati mgomo ukiendelea.
Kwa misingi hii, Mahakama Kuu ya Tanzania, kwa Chama cha Madktari Nchini, na wanachama wake, inaamuru kusitisha na kutoshiriki katika mgonmo huo.
Aidha Chama cha Madaktari Tanzania kimetangaza mgomo bila kufuatia taratibu zilizoanishwa katika Kifungu cha 76(1 na 2) cha Sheria ya Kazi (Employment and Labour Relations Act No 6 ya 2004.Masharti hayo ni ·
*Kuzuia wafanyakazi walio katika Sekta Muhimu kugoma na kama wakigoma, ·
*Kuwepo na makubalianao ya pamoja ya kutoa huduma za msingi wakati mgomo ukiendelea.
Kwa misingi hii, Mahakama Kuu ya Tanzania, kwa Chama cha Madktari Nchini, na wanachama wake, inaamuru kusitisha na kutoshiriki katika mgonmo huo.
UWEZI KUAMINI!APANDA KILIMANJARO KWA MIKONO
Spencer West yeye ana miguu.utumia mikono kwa kula kutembea nk.amefanikiwa kupanda mlima mrefu barani afrika(Kilimanjaro)kwa siku saba akiwa marafiki zake walimsindikiza kutimiza ndoto yake.Magazeti mengi barani ulaya ,USA yameandika kuh Spencer alivyo mjasili na mwenye furaha ya kufika juu ya mlima wa Kilimanjaro..Zaidi kuh Spencer West mcheki kwenye blog inayo pepea sawa bin sawia na jina lake
KIPUTE KIMEKWISHA GER 4-GRE 2
Atimae wajerumani wame wafungasha
vilago wagiriki kwa bao 4 kwa 2...mbali na
matatizo ya kisiasa yalijitokeza leo ambapo
mashabiki wa Ugiriki walipomchora Bibi
Mark akiwa na nembo ya Unazi kwenye mkono wake wa kulia na
kusabisha hasira kwa wajerumani lakini mpira ulikuwa mzuri na
nguvu kwa pande zote mbili.Hivyo Germany imesonga mbele na
kuiacha Ugiriki kwenye mataa,
Thursday, 21 June 2012
Wednesday, 20 June 2012
Sunday, 17 June 2012
Friday, 15 June 2012
SERIKALI KUOTA KIALAZA KWA WAISLAM
Waislam nchini Tanzania wametangaza rasmi kuigomea sensa ya makazi na watu itakayo fanyika Agost mwaka huu kwa kutaka kuingizwa kipengele cha dini na kabila.Baraza kuu la Tanzania BAKWATA limetangaza rasmi kugomea sensa hiyo ikiwa ombi lao la kutaka kuingizwa kipengele iko ikiwa kama halitofanyiwa kazi..
Tuesday, 12 June 2012
Sunday, 10 June 2012
WAZIRI NA NAIBU WAKE
WAFARIKI KWA
AJALI
Kenya's Internal Security ministers Prof
George Saitoti and Orwa
Ojode and five others are
feared dead when a
Police chopper crashed in
Kibiku area in Ngong
forest at 9am on Sunday,
according to police sources.The two were heading to Orwa Ojode's Ndhiwa Constituency fora fund-raising.It's exactly four years when a chopper carrying MPs Kipkalya Kones and Lorna Laboso crashed in Narok.According to an eye witness, the helicopter was seen diving from the sky and full of smoke before crushing and exploding into flames."The Chopper was filled with smoke before it crashed. I heard two explosions as it went up in flames," said Rose Kwamboka.
Alikuwa mmoja kati ya wakao gombania urais 2012 nchini kenya
Saturday, 9 June 2012
MADAKTAR KUKIWA KISHA TENA
wananchi roho juu
Wakutana jana na kutoa msimamo wao.kwenye mkutano huo ambao uliwashirikisha madaktari pamoja na viongozi wa chama chao walikubaliana kutangaza utata wa wiki mbili na baada ya hapo watakiwakisha ili kuishinikiza Serikali kuyapatia ufumbuzi madai yao.
Walidai kuwa kamati iliyoundwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ilishindwa kuyatatua matatizo yao kwa kigezo kwamba Serikali haina mpunga wa kutosha ili itekeleza wanacho kidai.
“Inasemekana hata ivyo Serikali ingekuwa na fedha isingeweza kuongeza mishahara kama ambavyo tunataka kutokana na madai kwamba wanachokita kitaambukiza watumishi wengine,”
Madaktari hao walilalamika kwamba ahadi iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete kwenye mkutano wao uliofanyika ikulu na kuwataka warejee kazini baada ya mgomo waliofanya Januari mwaka huu, haikutekelezwa.
NA HII NDIO ZIMBABWE YA JOGOO MUGABE
Mmoja kati ya wenye kusoma ananena yalio moyoni,
Ilikuwa saa mbili asubuhi majira ya kwa Jogoo almaarufu kama Kidume Mugabe alipokwenda kufungua kinywa akiwa na kitu cha ONE HUNDRED TRILLION DOLLARS.mpango mzima ulikuwa hivi!chai moja andazi mbili na chapati yenye jina maarufu kitaa kile yaani chapati gazeti kwa wale wenye macho makali laiti kama utanyanyua usawa wa sura yako unaweza kumuona alie mbele yako...
Kwa kuwa yeye ni mzoefu upande wa kujiweka sawa panapo kuchwa akaagiza na arage ili mambo yawe sawa bin sawiya na mchana upite wima kama daladala lililouza kituo,
Mambo yote hayakuwa kama yalivyotarajiwa na badala yake HUNDRED TRILLION Ilimalizika na msela ajashiba na mchana haukuwa wenye kushedelele
Kumbuka na hii ndio Zimbabwe ukitaka kushiba rudi kwenu
Friday, 8 June 2012
Thursday, 7 June 2012
SISI NA POROJO WENZETU WANA TENDA
Hadithi njoo utamu kulea.hapo zamani za kale kulitokea nchi
inayoitwa Porojo wakazi wa nchi hiyo kwa domo na mipango wajuzi
kweli kuliko vitendo.Wengi wao wanaishi katika mji maarufu wa Liwaro
na liwe,Kama mgeni ndani ya mji wa Liwaro na liwe inapigi uwe muangarifu na mwenye makini na kanya boya za kila aina pamoja na mipango mingi ya wana wa Porojo kuliko wenye ujuzi wa kuongea na kutunga mambo hata yasio kuwepo.Wanataka ujenge Daraja moja kubwa toka sehemu ya jiji la Liwaro na liwe hadi kwenye kisiwa kilicho jirani ya jiji hilo uku wakifahamu ´fika uwe usemi wa wahenga
MIPANGO CHI MATUMIZII.....
Tuesday, 5 June 2012
IBRAMOVIC APAKI KWENYE FUKWE ZA WASWIDI
Ni lile tajiri la Kirasia mwenye kumiliki boti ya kifahari duniani
KWA WALE WAPENDA SHIRA
Mpango mzima ndio huo hapo
ULINZI WA KUKATA NA MUNDU JIJINI LEO
Hii ni helcopter ya usalam wa raia na mali zao
SMOKA PA STOCKHOLM
Kipindi cha summer ni miziki kila dakika hasara wewe tu na .......
Sunday, 3 June 2012
JK YULE WA MIEMBE SABA YUKO VILE VILE
Si swala geni kwa wakazi wa Matimbwa.Kitopeni.Msata Kiwangwa na hata Bwagamoyo mjini
kwani Jakaya Kikwete licha ya kuwa Rais lakini tabia na mwenendo wake bado ni ule ule..JK ni mtu wa kujichanganya popote na yoyote iwe kwenye michezo ngoma za asili hata kwenye Zuna au bao..Picha imenikumbusha alipokuwa zamani na sasa halila JK Chafosa chaigoda
UKO FITI TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI
Picha -IKULI
Picha -IKULI
Subscribe to:
Posts (Atom)