Saturday, 9 June 2012

MADAKTAR KUKIWA KISHA TENA
wananchi roho juu
Wakutana jana na kutoa msimamo wao.kwenye mkutano huo ambao uliwashirikisha madaktari pamoja na viongozi wa chama chao walikubaliana kutangaza utata wa wiki mbili na baada ya hapo watakiwakisha ili kuishinikiza Serikali kuyapatia ufumbuzi madai yao.


 Walidai kuwa kamati iliyoundwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ilishindwa kuyatatua matatizo yao kwa kigezo kwamba Serikali haina mpunga wa kutosha ili itekeleza wanacho kidai.
 “Inasemekana hata ivyo  Serikali ingekuwa na fedha isingeweza kuongeza mishahara kama ambavyo tunataka kutokana na madai kwamba  wanachokita kitaambukiza watumishi wengine,”
            
 Madaktari hao walilalamika kwamba ahadi iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete kwenye mkutano wao uliofanyika ikulu na kuwataka warejee kazini baada ya mgomo waliofanya Januari mwaka huu, haikutekelezwa.

No comments:

Post a Comment

Angalia unapoandika usije kuleta machafuko
na hali ya sinto fahamu