Friday, 22 June 2012

KWEUPE KAMA MJI USIO NA WATU

Raia wote wako makwao..wengine likizo na wengine wako vijini kutoa msongo wa jiji la Stockholm..Huu ndio mtaa maarufu na unakusanya watu wengi sana hapa sio usiku wala mchana mamia ya watu ujazana na wote wakionekana kwenye mishemishe za kila aina

No comments:

Post a Comment

Angalia unapoandika usije kuleta machafuko
na hali ya sinto fahamu