Friday, 22 June 2012

KIPUTE KIMEKWISHA GER 4-GRE 2

Atimae wajerumani wame wafungasha 

vilago wagiriki kwa bao 4 kwa 2...mbali na 

matatizo ya kisiasa yalijitokeza leo ambapo 

mashabiki wa Ugiriki walipomchora Bibi 

Mark akiwa na nembo ya Unazi kwenye mkono wake wa kulia na 

kusabisha hasira kwa wajerumani lakini mpira ulikuwa mzuri na 

nguvu kwa pande zote mbili.Hivyo Germany imesonga mbele na 

kuiacha Ugiriki kwenye mataa,

No comments:

Post a Comment

Angalia unapoandika usije kuleta machafuko
na hali ya sinto fahamu